BAAADA YA HADITHI NYINGI, HATIMAYE DEPAY ATUA MANCHESTER UNITED Hatimaye kinda mwenye kipaji Memphis Depay ametua Man United kwa klabu hiyo kumwaga pauni milioni 25. Depay mwenye miaka 21 kutoka PSV Eindhoven ya Uholanzi ametambulishwa leo baada ya kusaini mkataba huo wa miaka minne.
0 COMMENTS:
Post a Comment