Barcelona imesaini mkataba mpya na Kocha wake, Luis Enrique, sasa
utaisha mwaka 2017.
Enrique amesaini mkataba mwingine zaidi wa mwaka mmoja na kumfanya
aendelee kubaki kwa miaka miwili sasa.
Kocha huyo, mchezaji wa zamani wa barcelona amepata mafanikio makubwa
msimu huu kwa kubeba mataji matatu ya La Liga, Copa de Rey na Ligi ya Mabingwa
Ulaya.
Kabla ya hapo, Barcelona ilimuongezea mkataba wa mwaka mmoja beki wake
Dani Alvez pia ikamsajili beki mpya Aleix Vidal.

0 COMMENTS:
Post a Comment