June 11, 2015


Mtanzania Emily Mgeta amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea Neckarsulmer ya Ujerumani.


Mgeta aliyewahi kuichezea Simba, amejiunga na klabu hiyo ya daraja la sita nchini humo.

“Nimesaini mwaka mmoja, nilifanya majaribio na kufuzu na sasa naangalia namna nitakavyopambana,” alisema beki huyo wa kushoto kutoka Ujerumani alipozungumza na SALEHJEMBE.


Mgeta ni mmoja wa vijana waliokuwa katika kikosi cha akina Said Ndemla, Ramadhani Singano ‘Messi’ na wengine.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic