Na Fahad Ally, Mwanza
Ilala
wameibuka mabingwa wa michuano ya taifa ya watoto chini ya miaka 13 baada ya
kuwachapa wenyeji Alliance kwa mabao 3-2.
Katika
mechi hiyo ya kuvutia kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa, Alliance ndiyo
walitangulia kupata bao.
Lakini
Ilala walitulia na kuonyesha soka safi kabla ya kusawazisha na mapumziko timu
hizo zilienda sare.
Katika
kipindi cha pili, ilala walifanikiwa kupata mabao mawili na Alliance wakapata
moja hivyo kufanya matokeo ya mwisho kuwa 3-2.
CHEKI MAPICHA YA ACTION







0 COMMENTS:
Post a Comment