June 28, 2015



Kocha mpya wa Simba, Dylan Kerr amesema atahitaji muda kidogo kukisuka kikosi chakje.


Kerr raia wa Uingereza amesema atafanya kila linalowezekana kuhakikisha kikosi chake kinakuwa bora lakini lazima apewe muda.
“Kazi ya ukocha kawaida inahitaji muda, inahitaji uone, utafakari na kuchukua uamuzi.

“Hivyo suala la muda halikwepeki ingawa katika soka mambo huenda taratibu,” alisema.


Kerr ametua nchini jana na tayari yuko katika hatua za mwisho kuanza mikakati ya kuanza kazi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic