Vijana wanaendelea
kula bata, wako Marekani kabla ya kuanza kwa msimu mpya.
Kiungo wa Juventus, Paul
Pogba, kiungo mshambuliaji mpya wa Manchester United, Memphis Depay na
mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku wamekutana na kula raha pamoja.
Achana na hao tu hata
kiungo raia wa Ivory Costa,
Saloman Kalou naye
aliungana nao kula bata.
Wachezaji wengi
wamekuwa wakionekana katika sehemu mbalimbali za starehe kabla ya kuanza kwa
msimu wa 2015-16.
0 COMMENTS:
Post a Comment