Makocha wawili Waholanzi, Hans van der Pluijm wa Yanga na Mart Nooij wa Taifa Stars leo wamekutana na kubadilishana mawazo hadharani.
Wawili hao walikutana wakati timu zao zikifanya mazoezi kujiandaa na michuano ya kimataifa.
Kikosi cha Taifa Stars, kimeendelea kujifua kwa
ajili ya mechi zake za kuwania kucheza Chan.
Yanga ndiyo walianza, Stars wakawasili na Waholanzi hao wakapata nafasi angalau ya kubadilishana mawazo.







0 COMMENTS:
Post a Comment