Cristiano Ronaldo raia wa Ureno amekuwa mchezaji anayeuzika zaidi
kwa wale wanaotokea barani Ulaya.
Ronaldo amewapiku wachezaji wengine nyota kama Arjen Robben, Wayne
Rooney na Gareth Bale ambao pia wameingia 10 bora.
Matokeo kupitia mitandao kadhaa ya Ulaya inayohusika
na mahesabu inaonyesha Ronaldo amepata kura kwa asilimia 77.46 kuonyesha yeye
ni bora zaidi.
Pointi hizo zinamfanya awe bora zaidi ya wengine
katika masuala ya malipo ya mshahara, wadhamini anaopata ana hata kujulikana
kwa mashabiki wanaume na wanawake kwa dunia nzima.
Angalia takwimu katika picha mbalimbali, utaona kila
mchezaji anaingiza kiasi gani, anajulikana vipi kwa wanaume na wanawake na
zaidi.
HII NI YA ROBBEN WA BAYERN MUNICH |
HAZARD |
ROONEY.. |
PIRLO |
0 COMMENTS:
Post a Comment