APR IMEFANIKIWA KUTINGA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA KAGAME BAADA YA USHINDI WAKE WA MABAO 2-1 DHIDI YA JIRANI ZAO WA LLB KUTOKA BURUNDI. MECHI NYINGINE AL SHANDY YA SUDAN IMEPATA USHINDI WA MABAO 3-2 DHIDI YA HEGAAN YA SOMALIA. USHINDI HUO NI WA TATU KWA APR AMBAYO IMEZISHINDA AL SHANDY, HEGAAN KABLA YA KUIMALIZA LLB LEO KWENYE UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR. |
0 COMMENTS:
Post a Comment