Hivi ndivyo kocha mpya
wa viungo wa Simba, Dusan Momcilovic alivyoanza kazi rasmi.
Dusan raia wa Serbia
ambaye ameingia mkataba na Simba, alianza kazi kwenye Uwanja wa TCC Chang’ombe
jijini Dar es Salaam.
Kocha huyo alishirikiana na bosi wake, Dylan Kerr raia wa Uingereza kukifua kikosi hicho cha Simba.
Safi sana wekundu wa msimbazi. hapa kandambili watakoma.
ReplyDelete