Beki Mohammed Fakhi
aliyesajili Simba, ameanza kazi rasmi katika kikosi hicho.
Fakhi ni kati ya
wachezaji wa Simba ambao wamekuwa wakijifua kwenye Uwanja wa TCC Chang’ombe
chini ya makocha watatu ambao ni Dlan Kerr, Selemani Matola na Dusan Momcilovic.
Fakhi amejiunga na
Simba akitokea JKT Ruvu ili kuongeza nguvu katika safu ya ulinzi ya timu hiyo
iliyopania kubadili mambo msimu ujao.
0 COMMENTS:
Post a Comment