Taifa Stars imefanya mazoezi yake ya mwisho leo baada ya
kuwasili jijini Kampala kwa ajili ya mechi yake ya pili dhidi ua wenyeji
Uganda, kesho.
Stars inatakiwa kushinda kwa mabao 4-0 ili kusonga mbele katika michuano hiyo ya Kombe la Chan.
Stars walifanya mazoezi katika Uwanja wa Nakivubo kabla ya mechi
ya kesho kwenye uwanja huo jijini Kampala.
Stars inatakiwa kushinda kwa mabao 4-0 ili kusonga mbele katika michuano hiyo ya Kombe la Chan.
Ugumu huo unatokana na Stars kupoteza kwa mabao 3-0 katika mechi ya kwanza iliyopigwa kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.
0 COMMENTS:
Post a Comment