Liverpool
imetumia kitita cha pauni milioni 77.5 kwa usajili katika kipindi cha majira ya
joto.
Fedha hizo
zimetumika kusajili wachezaji wanne tu, huku waliobaki watatu wakijiunga na
timu hiyo wakiwa huru.
Mmoja wa
waliosajiliwa ni mshambuliaji Christian Benteke ambaye amejiunga na Liverpool
akitokea Aston Villa na tayari ameanza mazoezi, jana.
USAJILI WA LIVERPOOL:
Christian Benteke - £32.5m - Aston Villa
Roberto Firmino - £29m - Hoffenheim
Nathaniel Clyne - £12.5m - Southampton
Joe Gomez - £3.5m - Charlton
Danny Ings - Burnley
James Milner - Free - Manchester City
Adam Bogdan - Free - Bolton
JUMLA £77.5M
0 COMMENTS:
Post a Comment