July 23, 2015

MASHABIKI WA LIVERPOOL WAMETUPIA MTANDAONI KIBONZO CHA MSHAMBULIAJI WAO WA ZAMANI, RAHEEM STERLING NA KUANZA KUMSHAMBULIA KWA MANENO KWAMBA NI ADUI NAMBA MOJA, WENGINE WAKIMUITA NI MSALITI.
MASHABIKI HAO WAMEENDELEZA MASHAMBULIZI IKIWA NI SIKU MOJA TU BAADA YA KUMSHAMBULIA MARIO BALOTELLI AMBAYE ALIMPONGEZA STERLING KWA KUANZA VIZURI KATIKA KIKOSI CHAKE CHA MANCHESTER CITY!
HASIRA ZA MASHABIKI WA LIVERPOOL ZINAONEKANA KUZIDI KWA STERLING LICHA YA KIJANA HUYO KUWA KIMYA NA KUENDELEA KUPAMBANA KATIKA AJIRA YAKE MPYA.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic