INAONEKANA WAZI KUWA SASALOUIS VAN GAAL TAYARI AMEPATA KIKOSI KIPYA KWA AJILI YA MSIMU UJAO. HIKI HAPA NDIYO AMEKIPA NAFASI ZAIDI KATIKA MECHI ZAKE MBILI ZA KIRAFIKI. HII INAONYESHA WACHEZAJI WALIO KATIKA KIKOSI HIKI, KWA ASILIMIA 85 NDIYO WATAKUWA WA KIKOSI CHA KWANZA KITAKACHOPAMBANA LIGI KUU ENGLAND. |
0 COMMENTS:
Post a Comment