July 7, 2015


Mshambuliaji mpya wa Fernanahce ya Uturuki, Luis Nani amepolekewa kwa shangwe zaidi na mashabiki wa timu hiyo wakati wa kutambulishwa.


Awali walimpokea kwa shangwe uwanja wa ndege lakini jana ametambulishwa na lundo la mashabiki limejitokeza kumpokea.
CHEKI PICHA.

REKODI NANI AKIWA NA MAN UNITED 
2007-08 mechi 41, mabao 4
2008-09 mechi 31, mabao 6
2009-10 mechi 34, mabao 6
2010-11 mechi 49, mabao 10
2011-12 mechi 40, mabao 10
2012-13 mechi 21, mabao 3
2013-14 mechi 13, bao 1




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic