Azam
FC imeshinda mechi yake ya kwanza ya michuano ya Kagame kwa kuichapa KCC ya
Uganda kwa bao 1-0.
Lakini
picha hii, kiungo wa Azam FC, Frank Domayo akipambana na mshambuliaji Joseph
Ochaya wa KCC, ndiyo bomba zaidi.
KCC ni timu inayomilikiwa na Manispaa ya Jiji la Kampala.
KCC ni timu inayomilikiwa na Manispaa ya Jiji la Kampala.
Maana
waliruka wote juu, Ochaya akiwa juu zaidi wakati anashuka ‘akasimama’ kwenye
bukta ya Domayo kabla ya wote wawili kwenda chini kwa staili ya aina yake. Cheki
mwenyewe.







0 COMMENTS:
Post a Comment