Iker Casillas ameanza vizuri kazi yake akiwa na
ofisini yake moya ya FC Porto.
Katika mechi yake ya kwanza ambayo ilikuwa ni ya
kirafiki dhidi ya Duisburg ilimalizika kwa sare ya bila mabao.
Casillas amejiunga na Porto ikiwa ni miaka 25 baada ya
kuitumikia Real Madrid.
0 COMMENTS:
Post a Comment