July 2, 2015

WAANDISHI WA CHAMPIONI, SWEETBER LUKONGE (KULIA), HANS MLOLI (ANAYEMFUATIA NA NICODEMUS JONAS WAKIMBANA KWA MASWALI MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA, HAMISI KIIZA 'DIEGO'. ANAYESUKUMA NI SIMON SSERUNKUMA.
Hamisi Kiiza ‘Diego’ ametua jijini Dar es Salaam akitokea kwao nchini Uganda tayari kuanza kazi na klabu yake mpya ya Simba.

Lakini alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kubanwa maswali na waandishi wa gazeti namba moja la michezo nchini la Championi.

Ingawa Kiiza alionekana mgumu kuzugumza, ubishi wa waandishi hao ulimfanya abadili mawazo na kufunga kila kitu kuhusiana na Simba, pia Yanga mambo ambayo yatapatikana kesho kwenye gazeti hilo.
WANAE TU... 
LUKONGE AMEKOMAA NA KIIZA.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic