August 11, 2015

MGOSI KATIKA MECHI YA LEO
Siku chache baada ya kung’ara katika mechi ya Simba Day, nahodha wa Simba, Mussa Hassan Mgosi amerejea mchangani na kufanya yake.


Mgosi amefunga bao pekee wakati Faru Jeuri ikiizamisha Stakishari kwa bao 1-0 katika mechi ya michuano ya Kombe la Ndondo.


Licha ya mabeki kuhakikisha wanamzuia katika mechi hiyo kwenye Uwanja wa Bandari Tandika jijini Dar, Mgosi alikuwa msumbufu na kufanikiwa kuibuka shujaa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic