August 20, 2015


Chelsea imeipiku Manchester United katika mbio za kumsajili kiungo mwenye kasi wa Barcelona, Pedro na leo anafanyiwa vipimo vya afya.


Chagua utakavyomuita Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho kuwa ni msela au mhuni, maana fasta amempigia simu Pedro yeye mwenyewe na kumshawishi atue darajani, dogo amekubali.

United baada ya kushindwa, sasa imehamishia nguvu zake kwa mshambuliaji mwenye kasi wa Southampton, Sadio Mane.

Chelsea iko tayari kumwaga pauni milioni 21.1 kumnasa Pedro na itaanza kutanguliza pauni milioni 19.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic