TASWIRA TANO ZA KILICHOTOKEA LEO UWANJA WA TAIFA AZAM WAKIBEBA KAGAME CUP AZAM FC IMETWAA UBINGWA WA KOMBE LA KAGAME KWA KUITWANGA GOR MAHIA KWA MABAO 2-0. HIZI NI PICHA TANO LEO KILICHOTOKEA UWANJANI HAPO. WASHINDI WA PILI, GOR MAHIA. MABINGWA AZAM FC.
0 COMMENTS:
Post a Comment