Pamoja na kwamba Liverpool ilionekana haina nafasi
katika mechi ya Ligi Kuu england dhidi ya Arsenal, jana. Kipa Petr Cech ndiye
anaonekana alikuwa shujaa.
Kwa mujibu wa takwimu za mechi ya jana, kipa huyo
mkongwe jana alifanya kazi ya ziada mara kadhaa kuikoa timu yake.
Uchambuzi unaonyesha kama Cech azingekuwa katika
kiwango kizuri, basi Arsenal ndiyo ilikuwa katika nafasi mbaya zaidi ya
kupoteza mchezo huo.














0 COMMENTS:
Post a Comment