Bao la beki nyota wa
kulia wa Azam FC, Shomari Kapombe na Kipre Tcheche yameiwezesha Azam FC
kuendeleza rekodi ya asilimia mia ya ushindi.
Azam FC imeshinda mchezo
wake wa tano mfululizo ikiitwanga Coastal Union kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa
Azam Complex jijini Dar.
Kapombe alifunga bao hilo
katika dakika ya 47 akiunganisha mpira wa kona safi iliyochongwa na kiungo
kinda mwenye kasi Farid Mussa.
Hadi sasa Azam FC na
Yanga ndiyo zenye rekodi ya kutopoteza mechi tena kwa ushindi wa asilimia mia
katika kila mchezo waliocheza.
VIKOSI:
AZAM FC
Aishi Manula, Shomary
Kapombe, Racine Diouf, Pascal Wawa, Said Mourad, Farid Mussa, Frank Domayo,
Jean Baptiste Mugiraneza, Ramadhani Singano ‘Messi’/Salum Abubakar ‘Sure Boy’
dk65, Allan Wanga/Didier Kavumbangu dk72 na Kipre Tchetche/Ame Ali ‘Zungu’
dk77.
COASTAL UNION:
Sebwato Nicholas, Hamad Juma, Tumba Lui, Yassin Mustafa, Abdallah Mfuko, Youssoufa Sabo, Twaha Ibrahim ‘Messi’, Nassor Kapama/Mohammed Hamisi dk56, Ali Ahmed ‘Shiboli’/Chidiebele Abasalim dk61, Ayoub Yahaya na Ismail Mohammed.

.
0 COMMENTS:
Post a Comment