September 22, 2015


Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya wanawake ya England, Danielle Carter amepiga hat trick wakati wakishinda kwa mabao 8-0 dhidi ya Estonia.


England imeibutua Estonia kwa mabao 8-0 katika mechi ya kuwania kucheza michuano ya Euro 2017.

Katika mechi hiyo iliyopigwa katika dimba la Le Coq Arena, jana usiku, England ilionekana kutawala kila eneo na ingeweza kushinda hadi mabao 15.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic