Kiungo wa West Ham, Cheikhou
Kouyate sasa ameamua kujianchia na Fanny Naguesha.
Fanny ndiye mpenzi wa
zamani wa mshambuliaji wa AC Milan, Mario Balotelli.
Balotelli na Fanny raia
wa Ubelgiji walitawala vyombo vya habari kabla ya kuachana hivi karibuni.
Penzi lake na Kouyate
lilianza kwa siri, lakini sasa mambo yanaonekana si siri tena na wameamua ‘kujiachia’
wanavyotaka.
Kouyate amesafiri hadi
Milan kumfuata Fanny na walionekana mitaani na sehemu ya kula wakiwa pamoja.
0 COMMENTS:
Post a Comment