Bado mambo hayajakaa vizuri kwa Kocha David Moyes baada ya kikosi chake cha Real Sociedad kuendelea na mwendo wa kusuasua katika La Liga.
Jana Real
Sociedad wamekwenda sare ya bila mabao dhidi ya wapinzani wao wakubwa Athletic
Bilbao.
Mwendo wa
kikosi chake umekuwa si mzuri sana, hali ambayo inaonyesha huenda akaondoka au
kuondolewa Hispania.
0 COMMENTS:
Post a Comment