Kiungo mkongwe, Steven Gerrard ameanza kuonyesha makali baada ya kuisaidia timu yake kushinda kwa mabao 3-2 dhidi ya FC Dallas katika mechi ya Ligi Kuu ya Marekani (Major League).
Kutokana na ushindi huo wa 3-2, Gerrard ameisaidia LA Galaxy kupaa hadi kileleni mwa ligi hiyo.
Gerrard
aliyejiunga na timu hiyo akiyokea Liverpool, amefunga bao lake la kwanza akiwa
na timu baada ya mwezi mmoja na nusu.
Alifunga bao
hilo likiwa ni la tatu na kuwafanya waongoze kwa mabao 3-1, hadi Dallas
walipopata bao jingine.
0 COMMENTS:
Post a Comment