Kocha Charles Boniface Mkwasa
ametangaza kikosi ambacho kitaingia kambini Alhamisi tayari kuanza kujiwinda
kwa ajili ya Malawi.
Stars itashuka dimbani Oktoba 9
kuivaa Malawi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mechi yake ya kwanza
kuwania kucheza Kombe la Dunia.
Kikosi kimetangazwa leo na Kocha
Msaidizi, Hemed Morocco.
Makipa:
Ally Mustapha, Aishi Manula na Said
Mohammed.
Mabeki:
Nadir Haroub, Kelvin Yondani, Mohammed
Hussein, Hassan Isihaka, Juma Abdul, Shomary Kapombe na Mwinyi Haji.
Viungo:
Himid Mao, Said Ndemla, Salum Telela,
Frank Domayo, Mudathir Yahya, Simon Msuva na Deus Kaseke
Washambuliaji:
Rashid Mandawa, John Bocco, Mrisho
Ngassa, Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu na Farid Mussa.
0 COMMENTS:
Post a Comment