September 13, 2015

MFUNGAJI PEKEE WA BAO LA SIMBA, HAMIS KIIZA AKIPAMBANA NA MLINZI WA AFRICAN SPORTS 'WANA KIMANUMANU'....
Kama ulizoea kuiona Simba ikianza Ligi Kuu Bara kwa sare mfululizo, basi si safari hii.


Hauna haja ya kubisha kwa kuwa Wekundu hao wa Msimbazi, wameanza mechi yao ya kwanza kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya African Sports iliyokuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga. Cheki Pichaz za action.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic