September 29, 2015

 
Bondia nyota wa Ufulipino, Manny Pacquiao sasa atarejea baada ya matibabu ya bega.

Awali alifanyiwa upasuaji baada ya kupoteza pambano dhidi ya Floyd Mayweather. Lakini alipigana baada ya kuwa ameumia bega mazoezini.

Lakini sasa amefanyiwa kipimo maalum cha MRI na inaonekana mambo yako safi.
 
Baada ya hapo, maana yake PacMan ana uwezo wa kurejea na kupambana.

Taarifa zinaeleza, bondia wa kwanza ambaye anatarajia kuzichapa naye ni Muingereza Amir Khan.

Kuna taarifa ya mazungumzo ya awali kuhusiana na mabondia hao kupanda ulingo mmoja zimeanza.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic