October 2, 2015

Timu ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imedhibitisha kushiriki michuano ya Chalenji itakayofanyika nchini Ethiopia kuanzia Novemba 21  hadi Desemba, 2015.

Michuano ya Cecafa Chalenji ndio michuano mikongwe zaidi barani Afrika ambapo jumla ya nchi 12 wanachama hushirki michuano hiyo iliyofanyika mara ya mwisho mwaka juzi nchini Kenya na wenyeji kutwaa Ubingwa huo.
Nchi wanachama wa Cecafa ni Tanzania Bara, Kenya, Uganda, Burundi, Rwanda, Ethiopia, Eritrea, Djibouti, Somali, Sudan, Sudan Kusini na Zanzibar.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic