Huku ikiwa haijafungwa hata mechi moja, Bayern
Munich imezidi kuongeza pengo la uongozi katika Bundesliga baada ya kuitwanga
Hertha Berlin kwa mabao 2-0, leo.
Shukurani kwa mabao mawili ya Thomas Muller na Kingsley
Coman na sasa Bayern inaongoza kwa
tofauti ya pointi 11.
0 COMMENTS:
Post a Comment