November 29, 2015


Kocha wa Simba, Dylan Kerr amesema sasa anataka ushindani wa namba katika kila idara ndani ya kikosi chake, uongezeke.


Kerr amesema anaamini ushindani utakuwa ni njia pekee ya kuongeza ubora wa kikosi.

“Kama ukiwa na watu wanshindana kwa ajili ya maendeleo, basi lazima maendeleo yatapatikana ndani ya kikosi,” alisema.

“Vizuri tu kila kiwe na ushindani, hii itasaidia kila mmoja kujiona yuko katika ushindani kuanzia ndani ya kikosi.”


Simba itaweka kambi mjini Zanzibar kuendelea na maandalizi ya Ligi Kuu Bara.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic