November 28, 2015



Nderemo na vifijo zimeibuka katika UWanja wa Awassa mjini Awassa baada ya beki Salim Mbonde wa Taifa Stars kujifunga bao katika dakika ya 90.


Bao hilo limeifanya Ethiopia kupata pointi moja baada ya matokeo ya bao 1-1 leo.

Sare hiyo pia imeifanya Stars kufikisha pointi 7 na kuendelea kuwa kinara wa kundi.

Sasa Ethiopia imefikisha pointi 4 na inasonga hadi hatua ya robo fainali.

Mapema Stars ilipata bao lilifungwa na Simon Msuva baada ya krosi ya Mohammed Hussein kutua kichwani mwa John Bocco kabla ya kumfikia Msuva aliyemalizia kwa ulaiiini kabisa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic