Na Mwandishi
Wetu, Johannesburg
Kiungo Mshambuliaji
wa Free State Stars, Mrisho Ngassa naye amejiunga na kikosi cha Taifa Stars
kilicho mazoezini jijini Johannesburg.
Ngassa
amejiunga na wenzake na mara moja ameanza mazoezi akiwa na kikosi cha Stars
kinachojiandaa kucheza na Algeria.
Stars itaivaa
Algeria kuwania kucheza Kombe la Dunia katika mechi inayotarajiwa kuwa ngumu.
0 COMMENTS:
Post a Comment