Chelsea imeibuka na kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya
Dynamo Kiev ya Ukraine na kuifanya ifikishe pointi 7 na kushinka nafasi ya pili
kundi G nyuma ya FC Porto yenye pointi 10.
Ushindi huo wa
Arsenal ikipata bao la pili kupitia kwa kiungo wake Mbrazil, William kumeamsha
matumaini kuwa Chelsea inaweza kurejea Ligi Kuu england na kuanza kushinda,
ingawa leo ilipata bao la kwanza baada ya Kiev kujifunga.
Chelsea: Begovic; Azpilicueta, Zouma, Terry, Baba
Rahman; Ramires, Matic; Willian, Fabregas, Oscar; Diego Costa.
Subs: Blackman, Cahill, Loftus-Cheek, Kenedy,
Hazard, Pedro, Remy.
0 COMMENTS:
Post a Comment