Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi ameamua kupasha kivyake
wakati kikosi chake kikiwa mazoezini.
Mwambusi aliyejiunga na Yanga akitokea Mbeya City aliamua kupiga
mazoezi aya push up maarufu kama “Magufulika” wakati kikosi chake kikiwa katika
mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani.
0 COMMENTS:
Post a Comment