.
Baada ya kuonyesha uwezo ikiwa ni pamoja na kuisaidia Arsenal kuitandika Man City kwa mabao 2-1, kiungo Mjerumani, Mesut Ozil ameamua kuchukua mapumziko kidogo.
Kwa kipindi hiki Ozil ni kati ya viungo wanaofanya vema kabisa katika Ligi Kuu england.
Pia ndiye anayeongoza kwa kutoa pasi zilizozaa mabao, kwani ametoa pasi za mabao 15 ya Arsenal katika Premier League.
Utaona jamaa ana haki ya kupumzika kabla ya kurejea kazini na kuendeleza mapambano.








0 COMMENTS:
Post a Comment