December 17, 2015


Beki kisiki wa zamani wa Man United, Rio Ferdinand ameteua kikosi ambacho anaamini ni mora kabisa katika timu hiyo chini ya Alex Ferguson ambaye pia amestaafu.

Kikosi cha Rio kipo hivi;
1. Van der Sar
2. Garry Neville
3. Patrice Evra
4. Nemanja Vidic
5. Rio Ferdinand
6. Carrick
7. Cristiano Ronaldo
8. Paul Scholes
9. Wayne Rooney/ Carlos Tevez
10. Van Nistelrooy/Van Persie 

11. Ryan Giggs

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic