Si
unajua kwamba watu wenye imani za rasta hawali nyama, wao ni misosi ya majani
na kwa lugha ya Kingereza wanawaita vegetarian.
Sasa
ndiyo kali aliyotoa mshambuliaji nyota wa Yanga alipoibuka mazoezini akiwa
amevaa fulana iliyoandikwa “I’m when sleep”.
Ikiwa
na maana kila ninapolala, siwezi kula nyama, nakuwa nisiye na matumizi na
nyama.
Hiyo
anamaanisha kama akiamka tu, u-vegetarian wake unakoma. Anaanza kula nyama. T shirt
nyingine bana.
0 COMMENTS:
Post a Comment