Mshambuliaji nyota
wa TP Mazembe, Thomas Ulimwengu ameumia.
Ulimwengu ameumia
mguu wake akiwa mazoezini, hata hivyo tayari amepata matibabu.
“Aliumia lakini
amepata matibabu na ataendelea na mazoezi na wenzake kama kawaida,” alisema
mmoja wa maofisa wa TP Mazembe.
Picha moja
mtandaoni imemuonyesha Ulimwengu akipatiwa huduma ya matibabu ya kisasa kabisa.
0 COMMENTS:
Post a Comment