December 2, 2015



Klabu kongwe ya Saint George cha Ethiopia, imetangaza kumtaka mshambuliaji kinda wa Azam FC, Kelvin Friday.


St George inayofundishwa na Mart Nooij aliyewahi kuonoa Taifa Stars kinamtaka Friday ili kuongeza nguvu safu yake ya ushambulizi.

Saad Kawemba kutoka Azam FC amesema tayari wamepokea ombi hilo.

"Kweli tumepotea na tunaendelea kulifanyia kazi, baada ya hapo tutawaeleza wapi tulipofikia," alisema.

Hata hivyo, Kocha Steward Hall wa Azam FC amekuwa hampi nafasi kubwa mshambuliaji huyo na badala yake John Bocco, Mkenya, Allan Wanga na Mrundi, Didier KAvumbagu, anagalau wamekuwa wakipata nafasi ya kucheza kwa mzunguko.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic