TASWIRA SITA SIMBA ILIVYOINYOOSHA AFRICAN SPORTS NNE MTUNGI Simba inaendelea kuchanua, jana imeitwanga African Sports kwa mabao 4-0 kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Ilikuwa mechi tamu na inayovutia, Simba wakautawala mchezo na kufunga mabao mazuri. ANGALIA PICHA ZA ACTION.
0 COMMENTS:
Post a Comment