Baada ya mazoezi ya asubuhi, Azam FC waliingia darasani na kocha Stewart Hall aliwafundisha mambo kadhaa zaidi akiyatumia makosa waliyoyafanya katika mechi dhidi ya Mafunzo katika michuano ya Mapinduzi.
Azam FC ilishindwa kusonga mbele kutoka hatua ya makundi na kutoka Kundi B, Yanga na Mtibwa Sugar zikasonga mbele.
Baada ya mazoezi ya asubuhi, wacheaji Azam FC waliingia darasani na kujifunza mambo mengi zaidi kupitia video na maelekezo mengine ya kitaalamu zaidi.
0 COMMENTS:
Post a Comment