February 8, 2016



DR Congo, wamebeba ubingwa wa michuano ya Chan kwa kuifunga Mali kwa mabao 3-0.

DR Congo waliutawala kwa kiasi kikubwa mchezo huo kwenye Uwanja wa Amahoro mjini Kigali Rwanda, jana usiku.


Hii ni mara ya pili kwa DR Congo kubeba ubingwa huo, mara ya kwanza ilikuwa ni 2009, Tanzania ikiishia hatua ya makundi katika michuano hiyo iliyofanyika nchini Ivory Coast.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic