February 23, 2016




Beki wa Togo, ’Vincent Bossou akiruka kuokoa mpira wakati wa mechi ya ya pili kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika dhidi ya Kipre Tchetche wa Ivory Coast waliokuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny jijini Abidjan, Ivory Coast. Hii ilikuwa ni Aprili 11, 2010 wakati wenyeji Ivory Coast waliposhinda kwa mabao 4-0 na kuing’oa Togo iliyokuwa ikiongozwa na Bossou.

Tcheche ambaye sasa yuko Azam FC alikuwa mmoja wa wafungaji huku Bossou ambaye sasa ni beki anayeonekana kuanza kuimarika, akishindwa kuzuia mvua hiyo ya mabao.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic