February 23, 2016


Kocha wa Barcelona, Luis Enrique akiwaongoza vijana wake mara baada ya kikosi chake kuwasili salama salimi jijini London, England.


Barcelona imetua London tayari kuwavaa Arsenal katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mechi inayoaminika kuwa itatazamwa na watu wengi zaidi duniani kote tokea kuanza kwa msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic