Napenda kukumbusha tu kwamba leo ndiyo mwisho wa dirisha la usajili England.
Dirisha linafungwa na tayari kuna taarifa timu kibao za Ligi Kuu England zimekuwa zikikimbizana kukamilisha malengo.
Historia inaonyesha kila dirisha linapokuwa likikaribia kufungwa, ndiyo kunakuwa na mchakamchaka wa juu wa usajili.
Siku ya mwisho kama leo, ndiyo imekuwa na matukio mengi zaidi baada ya timu kukubaliana, aidha kwa kupenda au presha kutoka kwa timu fulani au wachezaji wenyewe.
0 COMMENTS:
Post a Comment