Kikosi anachokiongoza Inter Club kinachonolewa na Kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic kimeanza ligi kwa ushindi wa bao 1-0.
KAbla ya hapo, Logarusic raia wa Croatia alikuwa ameshinda mechi nne na kutoka sare moja, lakini zote zikiwa ni za kujipima ngumu.
Loga alitua Angola baada ya kuwa amerejea kwao baada ya kushinda na uongozi wa AFC Leopards ya Kenya aliyojiunga nayo akitokea Simba.










0 COMMENTS:
Post a Comment